Tag Archives: MBINU ZA MAISHA

Matatizo Yote Kwenye Maisha Yako Yanatokana Na Kitu Hiki.

By | December 30, 2014

Kila mmoja wetu anapitia matatizo au changamoto mbalimbali kwenye maisha yake. Inawezekana unapitia matatizo ya kuumwa, au mwingine anapitia changamoto ya madeni na pia inawezekana unapitia changamoto ya migogoro kwenye familia.Sasa matatizo yote haya huwa yanaanza na kitu kimoja.Kabla sijakuambia kitu hiko naomba nikuoe mfano mmoja mzuri sana.Ukitaka kumuua chura (more…)

Mambo Kumi Muhimu Kuhusu Maisha

By | December 30, 2014

1.Tupo hapa kujifunza, dunia ndio mwalimu wetu. 2. Ulimwengu hauna upendeleo. 3. Maisha yako ni matokeo ya imani yako. 4. Pale utakapoanza kutegemea zaidi vitu, watu au fedha unaharibu kila kitu. 5. Kila unachokiwekea mkazo kwenye maisha yako kinakua. 6. Fuata moyo wako. 7. Mungu hatoshuka kutoka mawinguni na kukuambia (more…)

Kitu Hiki Kimoja Kitakufanya Uweze Kujiajiri, Uishie Kuwa Mwajiriwa Au Uishie Jela.

By | December 29, 2014

Habari za jumatatu rafiki?Tunaelekea kabisa ukingoni mwa mwaka 2014.Najua unefanikiwa mengi, umepata changamoto kwenye machache na umejifujza mengi pia.Najua pia unajiandaa vyema kwa mwaka 2015Leo nataka tukumbusane kitu muhimu sana ambacho ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuzingatia.Kitu hiko ni NIDHAMU…Unapoweza kuwa na nidhamu ya kujisimamia wewe mwenyewe yaani jidhamu (more…)

Hiki Ndicho Kinachonisukuma…

By | December 28, 2014

Imani yangu.Hiki ndicho ninachokiamini mimi na kinachonisukuma kila siku kufanya kile ambacho ninafanya;Naamini kila mtu ana uwezo mkubwa ndani yake wa kuweza kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.Naamini kuna fursa nyingi sana zinazomzunguka kila mtu pale alipo ambazo zinaweza kumsaidia kuboresha maisha yake zaidi.Nafanya kazi na watu kuwawezesha kutumia uwezo (more…)

Kesho ni siku muhimu sana kwako, na itumie kufanya jambo hili moja muhimu.

By | November 30, 2014

Kesho ni tarehe moja mwezi wa kumi na mbili. Maana yake ni kwamba ni siku ya kwanza ya mwezi wa mwisho wa mwaka huu 2014.Kuanzia kesho zitakuwa zimebaki siku 30 tu mwaka uishe!Je mwaka huu 2014 uliendaje kwako?Je malengo na mipango uliyojiwekea umeyatimiza!Tumia siku ya kesho kutafakari mwaka huu umekwendaje.Nakutakia (more…)

Mambo sita yatakayokufanya uwe na furaha zaidi.

By | October 13, 2014

Furaha sio kitu ambacho unapewa na mtu. Ni kitu ambacho kinatoka ndani yako mwenyewe. Kuna baadhi ya mambo ukifanya unaongeza furaha yako. Haya hapa ni sita kati ya mambo hayo.1. Fanya mazoezi.Kufanya mazoezi kunafanya mwili kuwa imara na hivyo kuweza kufanya mambo mengi unayotaka. Hakuna kitu kinachoondoa furaha kama kuumwa.2. (more…)

Fanya Mambo haya matatu kuwa na maisha bora na yenye furaha.

By | October 13, 2014

Ili kuwa na maisha bora na yenye furaha ni muhimu kuwa na uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka. Na ili kuwa na mahusiano mazuri ni muhimu sana kufanya mambo haya matatu;1. Omba msamaha pale unapokosea.2. Samehe pale unapoombwa msamaha.3. Usiweke kinyongo.Imarisha uhusiano wako na wale wanaokuzunguka ili uweze kuwa na maisha (more…)