Tag Archives: MBINU ZA MAISHA

Fanya mambo haya matano kujiandaa kwa wiki inayoanza kesho.

By | October 12, 2014

Mapumziko ya mwisho wa wiki yameisha na kesho ni siku mpya ya wiki mpya. Kama ukiwa na mipango mizuri utakuwa na wiki nzuri na yenye mafanikio makubwa.Ukikosa mipango mizuri utaishia kupoteza wiki yako.Fanya mambo yafuatayo kuwa na wiki yenye mafaniki.1. Weka malengo na mipango ya wiki.2. Weka ratiba ya kila (more…)

Hii ndio faida ya kushindwa.

By | October 11, 2014

Moja ya vitu vinavyowazuia watu wengi kufikia mafanikio ni hofu ya kushindwa. Unaona kushindwa kama adui mkubwa ambae hupaswi hata kukutana nae.Unakosea sana unavyofikiri hivyo. Kushindwa kunaweza kuwa kitu kizuri na kuwa na faida kubwa kwenye maisha yako.Unaposhindwa unakuwa umejifunza ni njia au kitu gani hakifanyi kazi vizuri ja hivyo (more…)

Hizi ndio Hofu mbili ulizozaliwa nazo, nyingine ni uongo.

By | October 10, 2014

Hofu ndio kikwazo kikubwa cha wewe kushindwa kufikia mafanikio makubwa.Hofu ya kushindwa, hofu ya kukataliwa, hofu ya kifo na nyingine nyingi zimekuwa zinakurudisha nyuma kila siku.Habari njema ni kwamba hofu hizi sio sehemu ya maisha yako bali umejifunza tu. Hivyo ina maana unaweza kuondokana nazo kama zilivyokuingia.Mtoto mdogo anazalia na (more…)

Hii ndio njia ya uhakika ya wewe kufikia mafanikio.

By | October 10, 2014

Mafanikio sio ajali au bahati. Ni kitu ambacho kila anayekitafuta anaweza kukipata kama atafuata njia sahihi ya kuzipata.Nikuulize swali moja, kama unataka kupika mkate na hujui jinsi ya kupika mkate unafanya nini?Jibu ni kwamba utatafuta njia yankujifunza kupika mkate. Iwe ni kusoma kitabu, kuangalia mapishi au vinginevyo.Sasa ni kuulize ni (more…)

Mambo Matano Ya Uongo Uliyojifunza Shuleni.

By | October 10, 2014

Shule ni nzuri sana maana ndio imetuwezesha kusoma, kuandika na kuhesabu. Vitu vitatu muhimu sana ambavyo unavitumia kwenye maisha yako yab kila siku.Shule hii hii imekufundisha mambo mengine ya uongo ambayo yamekuwa kikwazo kwako kufikia mafanikio.Haya hapa ni mambo matano ya uongo uliyofundishwa shuleni.1. Ukifeli shule umefeli maisha.Umeaminisha kwamba kama (more…)

NENO LA USIKU; Kabla ya kulala tafakari hiki.

By | October 9, 2014

Kama siku yako ya leo imekwenda vibaya, kumbuka kwamba huo sio mwisho wa dunia. Kuna kesho na kesho ni siku mpya unayoweza kufanya tofauti na kuweza kufanikiwa.Kabla hujalala chukua kalamu na karatasi na uandike yafuatayo;Mambo matatu uliyofanikisha na kufanikiwa leo.Mambo matatu uliyopata changamoto au kushindwa leo.Jiulize ni kipi cha kuendeleza (more…)

Tabia Tano unazoweza kujifunza na ukaboresha maisha yako.

By | October 9, 2014

Mambo yote yanayotokea kwenye maisha yako yanatokana na tabia ulizojijengea.Kama maisha yako sio mazuri hii ina maana kuna tabia unazofanya zinazokuletea maisha hayo.Hizi hapa ni tabia tano unazoweza kujijengea na ukaboresha maisha kwa kiwango kikubwa.1. Kuamka asubuhi na mapema.Hii itakufanya kuwa na muda zaidi wa kufanya mambo yako. Anza lKwa (more…)