Tag Archives: MBINU ZA MAISHA

Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha Yako Yote.

By | October 9, 2014

Wakati wa ujana ndio wakati ambao watu wengi wanajaribu mambo mbalimbali. Sio kitu kibaya kwa sababu katika kujaribu huku mambo mbalimbali ndio unaweza kujua ni kitu gani utakomaa nacho kwenye maisha yako.Katika kula ujana usifanye mambo haya matano, maana ukiyafanya utajutia maisha yako yote.1. Usivute sigara.Fanya starehe zote lakini usivute (more…)

Mambo matano unayoweza kuanza kufanya sasa ili kuwa na maisha bora.

By | October 8, 2014

Maisha bora hayategemei kiasi cha fedha au unaishi wapi.Kuna mambo mengi unaweza kufanya leo hii na ukaboresha maisha yako kwa kiwango kikubwa sana.1. Kunywa maji mengi.2. Kula mlo kamili.3. Fanya mazoezi.4. Cheka zaidi.5. Pata muda wa kupumzika.Mambo hayo hayahitaji gharama kubwa na yataboresha maisha.Nakutakia kila la kheri.TUPO PAMOJA. (more…)

Acha mara moja kulalamikia mambo haya matano.

By | October 8, 2014

1. Biashara yako haikui Ili biashara yako ikue unahitaji kukua wewe kwanza. Kulalamika hakutakusaidia lolote. Anza kukua wewe na biashara yako itakua.Utakua kwa kujifunza zaidi.2. Una afya mbovu Afya yako mbovu umeitengeneza wewe mwenyewe kwa tabia zako unazoendekeza. Inawezekana kula hovyo, kutokufanya mazoezi, kutokuzingatia kanuni za afya n.kBadili yanayoharibu afya (more…)

Tabia Tano Mbaya Ambazo Kila Mtu Anazo Na jinsi unavyoweza kuzitumia kufanikiwa.

By | October 7, 2014

Binadamu wote tuna tabia ambazo ni za asili kabisa. Hizi ni tabia ambazo kila mtu anazo. Tabia hizi zinaweza kuwa nzuri au mbaya.Tofauti kubwa ya watu waliofanikiwa na ambao hawajafanikiwa ni kwenye matumizi ya tabia hizi.Leo utajiongeza kwa tabia hizi na jinsi ya kuzitumia kufanikiwa.1. UvivuKwa asili binadamu wote ni (more…)

Hivi Ndivyo Ndoto Zako Zinaweza Kuwa Kweli.

By | October 6, 2014

Dreams do not come true just because you dream them. It’s hard work that makes things happen. It’s hard work that creates change… Ditch the dream and be a doer, not a dreamer. Ndoto zako hazitakuwa kweli kwa sababu tu umeota,Ni kufanya kazi kwa juhudi ndio kunafanya mambo yatokee,Ni kufanya (more…)

Tumia dakika hii moja kutatua matatizo yako ya kifedha.

By | October 6, 2014

Ukiacha hewa ya oksijeni tunayovuta, fedha ni kitu cha pili muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu. Kama unapinga hilo acha kusoma hapa na usiendelee kulalamika kwamba maisha ni magumu.Sasa leo chukua dakika moja tu kufanya mambo yafuatayo ambayo yatabadili muelekeo wako wa kifedha.Matatizo makubwa unayopata kuhusu fedha yanatokana na (more…)

Mambo Matano Yatakayotokea Utakapoanza Tabia Ya Kujisomea.

By | October 6, 2014

Moja ya njia rahisi sana ya kupata maarifa kutoka kwa watu wengine ni tabia ya kupenda kujisomea. Kujisomea vitabu kunakupa mambo mengi sana yatakayokufikiasha kwenye mafanikio. Kama utajijengea tabia ya kujisomea, mambo haya matano yatatokea; 1. Utapata maarifa zaidi. Kwa kujenga tabia ya kujisomea utapata maarifa mbalimbali kutoka kwa waandishi (more…)