Tag Archives: MBINU ZA MAISHA

Sheria 10 Za Kuzingatia Kwenye Maisha.

By | September 16, 2014

Kuna sheria nyingi sana ambazo tunaishi nazo kwenye maisha yetu. Kuna ambazo tumezikuta kwenye jamii kwa asili na kuna ambazo zinatungwa na mamlaka husika. Hapa kuna sheria kumi ambazo unatakiwa kuishi nazo kila siku ili kurahisisha maisha yako. 1. Ukifungua kitu, hakikisha unakifunga. 2. Ukiwasha kitu, hakikisha unakizima. 3. Ukivunja (more…)

Mambo 10 Rahisi Unayoweza Kuanza Kufanya Leo Na Ukaboresha Maisha Yako.

By | September 16, 2014

Safari ya maisha ni safari yenye changamoto nyingi sana. Katika safari hii kuna milima na mabonde na hata visiki vinavyoweza kukukwamisha. Ili kuweza kushinda changamoto hizi kuna vitu vidogo vidogo sana unavyoweza kufanya kila siku na ukaboresha maisha yako.   Haya hapa ni mambo 10 unayoweza kuanza kufanya leo na (more…)

Njia 10 Rahisi Za Kuondoa Msongo Wa Mawazo.

By | September 15, 2014

Msongo wa mawazo ni kitu kibaya sana kwa afya yako na hata kwa kazi au biashara yako. Unapokuwa na msongo wa mawazo huwezi kufanya maamuzi sahihi na hivyo kujikuta ukipata matatizo zaidi. Japokuwa hakuna anayependa kuwa na msongo wa mawazo, maisha yetu ya kila siku yanatutengenezea msongo wa mawazo. Msongo (more…)