Tag Archives: MTAZAMO SAHIHI WA BIASHARA

BIASHARA LEO; Mtazamo Wa Kuvuna Na Mtazamo Wa Kujenga.

By | June 13, 2015

Katika biashara kuna mitazamo miwili mikubwa, mtazamo wa kwanza ni wa kuvuna, na mtazamo wa pili ni wa kujenga. Mtazamo wa kuvuna. Hapa ni pale ambapo mfanyabiashara anaangalia ni kitu gani anakipata sasa. Yeye anafikiria kuvuna tu na hivyo anapoipata fursa anaitumia kwa uhakika. Na kama hakuna njia ya kuvuna (more…)

BIASHARA LEO; Bila Kudhulumu Watu Huwezi Kufanikiwa Kwenye Biashara…. UONGO.

By | May 15, 2015

Changamoto nyingi sana tunazokutana nazo kwenye biashara zinaanza na sisi wenyewe. Yaani wewe mwenyewe ndio chanzo kikubwa cha matatizo unayokutana nayo kwenye biashara yako. Japo huwezi kukubali hili ila nasikitika kukutaarifu hivyo. Biashara zinaposhindwa watu wanakuwa na sababu nyingi sana, uchumi mbaya, wateja hakuna, washindani ni wengi na kila aina (more…)

BIASHARA LEO; Mafanikio Ya Biashara Yanaanza Na Wewe Mwenyewe.

By | April 11, 2015

Nimekuwa napata bahati ya kukutana na kuwasiliana na wafanyabiashara wengi wadogo na wa kati kwa ajili ya ushauri. Kitu kikubwa ambacho nimekuwa nakiona ni mtazamo wa mtu kwenye biashara una athari kubwa sana kwenye biashara ya mtu. Kuna watu ambao wanafanya biashara kwa sababu wanataka tu kupata faida. Hawa ni (more…)

BIASHARA LEO; Biashara Yako Ni Matatizo Ya Watu…

By | April 10, 2015

Mbinu bora kabisa itakayokuwezesha wewe kufanya biashara yako wka mafanikio ni kubadili mtazamo wako katika biashara unayofanya. Tulishakubaliana kwamba lengo la biashara sio kupata faida bali kutengeneza wateja wa kudumu, kama tulivyoona hapa; Lengo La Biashara Sio Kupata Faida, Bali Ni Hili Hapa. Sasa leo tutajifunza mbinu nyingine muhimu ambayo (more…)