Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Faida Ya Kufanya Kile Unachosema…

By | January 27, 2015

“Walking your talk is a great way to motivate yourself. No one likes to live a lie. Be honest with yourself, and you will find the motivation to do what you advise others to do.” Vince Poscente Kufanya kile unachosema ni njia kubwa ya kujihamasisha. Hakunamtu anayependa kuishi uongo. Kuwa (more…)

NENO LA LEO; Jinsi Ya Kuimarisha Ujasiri Wako.

By | January 26, 2015

”Courage is like a muscle strenghthened by its use.” Ruth Gordon Ujasiri ni kama msuli, unakuwa imara kadiri unavyotumika. Ujasiri unao ila inawezekana umeufanya kuwa dhaifu kwa kuacha kuutumia kwa muda mrefu. Ili kuimarisha ujasiri wako anza kuutumia. Pata hofu ila tumia ujasiri wako kufanya licha ya hofu unayoipata. Anza (more…)

NENO LA LEO; Usiache Jiwe Lolote Halijageuzwa…

By | January 25, 2015

“Leave no stone unturned.” Euripides Usiache jiwe lolote halijageuzwa. Katika kufikia mafanikio ni lazima ujaribu kila njia inayowezekana. Usiwe rahisi kukata tamaa baada ya kushundwa mara chache. Komaa na hakikisha kila njia inayowezekana umeifanyia kazi. Usiache hata jiwe moja halijageuzwa, huenda jiwe hilo ndio lina hazina yako. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Unachohitaji Ili Kusonga Mbele.

By | January 24, 2015

”To move ahead you need to believe in yourself…have conviction in your beliefs and the confidence to execute those beliefs.” Adlin Sinclair Ili kusonga mbele unahitaji kuwa na imani kwako mwenyewe,  kuwa na uhakika juu ya imani zako na kudhubutu kufanyia kazi imani zako. Mafanikio yoyote yanaanza na imani. Kama (more…)

NENO LA LEO; Chagua Kitu Hiki Kizuri…

By | January 22, 2015

“Life is change. Growth is optional. Choose wisely.” Karen Kaiser Clark Maisha ni mabadiliko. Kukua ni uamuzi. Chagua kwa makini. Maisha yanabadilika kila siku, ila kuamua kubadilika na kukua hiyo ni juu yako mwenyewe. Kama ukichagua kwa mwakini na ukaendana na mabadiliko utaboresha maisha yako. Chagua leo kukabiliana na mabadiliko (more…)

NENO LA LEO; Mambo Yanapokuwa Magumu Usiache Kitu Hiki Muhimu.

By | January 21, 2015

”When it is obvious that the goals cannot be reached, don’t adjust the goals, adjust the action steps.” Pale unapoona wazi kwamba huwezi kufikia malengo yako, usibadili malengo yako bali badili mipangilio yako. Lengo lako sio kitu cha kubadili kwa sababu umekutana na kikwazo, angalia ni jinsi gani unaweza kuboresha (more…)

NENO LA LEO; Mafanikio Sio Mwisho, Kushindwa Sio Kiyama…

By | January 20, 2015

“Success is not final, failure is not fatal: it is the courage to continue that counts.” Winston Churchill Mafanikio sio mwisho, kushindwa sio kiyama; ni ujasiri wa kuendelea ndio unaohitajika. Usifikiri ukifikia mafanikio ndio mwisho wa kila kitu, mambo bado yanaendelea sana. Kushindwa sio mwisho wa dunia, maisha bado yanaendelea. (more…)

NENO LA LEO; Mafanikio Sio Mwisho, Kushindwa Sio Kiyama…

By | January 20, 2015

“Success is not final, failure is not fatal: it is the courage to continue that counts.” Winston Churchill Mafanikio sio mwisho, kushindwa sio kiyama; ni ujasiri wa kuendelea ndio unaohitajika. Usifikiri ukifikia mafanikio ndio mwisho wa kila kitu, mambo bado yanaendelea sana. Kushindwa sio mwisho wa dunia, maisha bado yanaendelea. (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ni Kitu Unachotakiwa Kufanya Kila Siku.

By | January 19, 2015

“People often say that motivation doesn’t last. Well, neither does bathing – that’s why we recommend it daily.” Zig Ziglar Watu wanasema kwamba hamasa haikai muda mrefu. Ndio ni kweli , lakini hata kuoga pia hakukai muda mrefu. Ni muhimu sana kujihamasisha kila siku kama unavyooga kila siku. Unaoga kila (more…)