Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Jinsi Ya Kuota Na Jinsi Ya Kuishi…

By | January 18, 2015

“Dream as if you’ll live forever, live as if you’ll die today.” James Dean Ota kama vile utaishi milele na ishi kama vile utakufa leo. Ukiota kama vile utaishi milele utadhubutu kuota mambo makubwa, kuweka malengo makubwa ambayo yataboresha maisha yake na hutafikiria kama ukifa itakuwaje, kwa sababu unafikiri kama (more…)

NENO LA LEO; Jinsi Ilivyo Rahisi Kutokuchukua Hatua.

By | January 17, 2015

“How soon ‘not now’ becomes ‘never’.” Martin Luther Mapema sana ‘sio sasa’ inakuwa ‘sio kabisa’ Kama unaweka malengo na mipango yako yakini unasema hutafanya sasa, maana yake unasema hutafanya kabisa. Pale unapojishawishi kwamba utafanya kesho maana yake unaandaa mazingira ya kutokufanya kabisa. SOMA; Fanya Mambo Haya Matatu Na Usipokuwa Tajiri (more…)

NENO LA LEO; Njia Bora Ya Kujifunza.

By | January 16, 2015

“One learns by carrying out a thing; for though you think you learn it, you don’t have a certainty until a person try” Sophocles Mtu anajifunza kwa kufanya mambo; unaweza kufikiri unajifunza ila hujajifunza chochote mpaka pale unapojaribu kufanya. Katika kufanya ndiko unakojifunza kweli, maana kama utakosea utajifunza njia ya (more…)

NENO LA LEO; Kitachokufanya Uanze Na Kitachokufanya Uendelee…

By | January 15, 2015

“Motivation is normally what gets you actually started. Habit will be what keeps everyone going” Jim Ryun Hamasa ndio itakufanya uanze kufanya jambo. Tabia ndio itakayokufanya uendelee kufanya jambo hilo. Hivyo ni muhimu sana kujihamasisha kila siku na pia kujenga tabia itakayokuwezesha kufikia malengo yako. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Jambo Moja La Kukumbuka Pale Mambo Yanapokuwa Magumu.

By | January 14, 2015

When everything seems to be going against you, remember that the airplane takes off against the wind, not with it. –Henry Ford Wakati kila kitu kinaonekana kwenda kinyume na wewe, kumbuka kwamba ndege huwa zinaenda kinyume na upepo na sio kufuata upepo. Jinsi unavyovuka vikwazo ndio unavyozidi kuwa imara na (more…)

NENO LA LEO; Swali Muhimu Sana Kujiuliza Kwenye Maisha Yako.

By | January 13, 2015

The question isn’t who is going to let me; it’s who is going to stop me. –Ayn Rand Swali muhimu la kujiuliza sio nani atakayekuruhusu bali nani atakayekuzuia. Hakuna mtu aliyetayari kukuruhusu wewe ufanye kitu kikubwa kwenye maisha yako. Lakini kuna wengi sana watakaokuzuia wewe kufanya mambo makubwa kwenye maisha (more…)

NENO LA LEO; Kwa Kufanya Hivi Umejilaani Mwenyewe.

By | January 12, 2015

You may be disappointed if you fail, but you are doomed if you don’t try. –Beverly Sills Unaweza kukatishwa tamaa pale unaposhindwa ila umejilaani mwenyewe kama hutojaribu tena. Kushindwa ni sehemu ya safari inayoelekea kwenye mafanikio. Kama utakubali kukatishwa tamaa na kushindwa utasahau kabisa kuhusu mafanikio. Ila kama utajaribu tena (more…)

NENO LA LEO; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Nguvu Zako.

By | January 10, 2015

The most common way people give up their power is by thinking they don’t have any. –Alice Walker Njia maarufu ambayo watu wanatumia kupoteza nguvu zao ni kwa kufikiri kwamba hawana nguvu. Usijidanganye tena, unazo nguvu kubwa sana za kukuwezesha kutengeneza maisha unayotaka. Anza sasa kutumia nguvu hizo na ubadili (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kitu Cha Wewe Kuanza Kufanya.

By | January 9, 2015

Do what you can, where you are, with what you have. –Teddy Roosevelt Fanya kile unachoweza kufanya, hapo ulipo na kwa kutumia kile ambacho unacho. Swali; Sasa mimi naweza kufanya nini kwa hapa nilipo? Jibu; Fanya kile unachoweza kufanya, hapo ulipo na kwa kutumia kile ambacho unacho. Kumbuka kauli mbiu (more…)