Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Hapa Ndio Pa Kuanzia, Hasa kwa mwaka 2015…

By | December 28, 2014

The way to get started is to quit talking and begin doing. –Walt Disney Njia ya wewe kuanza ni kuacha kuongea na kuanza kufanya. Ni rahisi sana kuongea, kila mtu anaweza kuongea.. Ni rahisi sana kupanga, kila mtu anapenda kupanga na kupanga tena baada ya kupanga. Lakini kuongea na kupanga (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Unachokiishi

By | December 19, 2014

Too many of us are not living our dreams because we are living our fears. –Les Brown Wengi wetu hatuishi ndoto zetu kwa sababu tunaishi hofu zetu. Acha sasa kuzuiwa na hofu na anza kuishi maisha ya ndoto zako. Hakuna kinachoshindikana kama kweli utakuwa umedhamiria. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Huwezi Kuanguka Kama Hutafanya Hivi.

By | December 18, 2014

You can’t fall if you don’t climb. But there’s no joy in living your whole life on the ground. –Unknown Huwezi kuanguka kama hutopanda. Lakini hakuna furaha kwenye maisha kama utaishi maisha yako yote ukiwa chini. Anza sasa kupanda na kuwa bora zaidi, ndio unaweza kuanguka ila utajifunza mengi na (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Chanzo Cha Furaha.

By | December 12, 2014

Happiness is not something readymade. It comes from your own actions. –Dalai Lama Furaha sio kitu ambacho kimetengenezwa tayari. Furaha inatokana na matendo yako mwenyewe. Kama utakuwa na matendo yenye maana kwako na kwa wanaokuzunguka ni lazima yatakuletea furaha. Furaha hupewi na mtu mwingine. Soma; HII NI HAKI YAKO YA (more…)

NENO LA LEO; Mlango Mpya Wa Furaha

By | December 10, 2014

When one door of happiness closes, another opens, but often we look so long at the closed door that we do not see the one that has been opened for us. –Helen Keller Mlango mmoja wa furaha unapojifunza, mlango mwingine unafunguka, lakini tunaishia kuangalia mlango uliojifunza kwa muda mrefu na (more…)

NENO LA LEO; Jambo Kubwa Na La Kushangaza.

By | December 8, 2014

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light. –Plato Tunaweza kumsamehe mtoto mdogo anayeogopa giza; ila jambo kubwa na la kushangaza kwenye maisha ni pale mtu mzima anapoogopa mwanga. Ni kipi unachokiogopa kukifanya (more…)

NENO LA LEO; Hapa Ndio Unapoweza Kuanzia Na Hiki Ndio Unachoweza Kufanya.

By | December 7, 2014

Start where you are. Use what you have. Do what you can. –Arthur Ashe Anzia hapo ulipo. Tumia hiko ulicho nacho. Fanya unachoweza. Usipoteze tena muda kufikiri ni wapi pa kuanzia, uanze na nini au ufanye nini. Unachohitaji ni kuanza kupiga hatua na mambo mengine yote yatakwenda vizuri. Nakutakia siku (more…)

NENO LA LEO; Chochote Unachotaka Kuwa Kipo Huku

By | December 6, 2014

Everything you’ve ever wanted is on the other side of fear. –George Addair Chochote ambacho umewahi kutaka kipo upande wa pili wa hofu. Acha sasa kuwa na hofu na chukua hatua kupata kile unachotaka. Kumbuka hakuna kingine zaidi ya kuchukua hatua. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Umepangiwa Kuwa Mtu huyu…

By | December 5, 2014

The only person you are destined to become is the person you decide to be. –Ralph Waldo Emerson Mtu pekee uliyepangiwa kuwa ni yule unayeamua kuwa. Kama unaamua kuwa na mafanikio utakuwa nayo kweli na kama unaamua kuwa wa hovyo utakuwa wa hovyo. Maamuzi ni yako, uchaguzi ni wako. Nakutakia (more…)