Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Kuhusu Fedha Kutonunua Furaha.

By | November 24, 2014

Watu wote wanaosema fedha haiwezi kununua furaha nao hawana fedha za kuwatosha. Sijawahi kumsikia tajiri akitumia kauli hiyo kwamba fedha haiwezi kununua furaha. Hivyo basi badala ya kukubali tu kauli hiyo kwa nini usiifanyie majaribio? Kuwa na fedha nyingi halafu uone kama kweli zinaweza kununua furaha au la. Nakutakia siku (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Mtu Anayejua Kila Kitu.

By | November 10, 2014

Any man who knows all the answers most likely misunderstood the questions. Mtu anayejua majibu yote kuna uwezekano mkubwa haelewi maswali. Katika ulimwengu wa sasa ni vigumu sana kujua kila kitu, chagua vitu vichache unavyotaka kuvijua na vijue vizuri. Nakutakia siku njema. (more…)