Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Maana Halisi Ya Msamaha

By | November 7, 2014

Forgiveness is all about me giving up my right to hurt you for hurting me. Msamaha ni pale ambapo mimi naamua kupoteza haki yangu ya kukuumiza wewe kwa kuniumiza mimi. Unaposamehe unaepuka kutengeneza maumivu zaidi. Amua leo kuwasamehe wote waliokuumiza, maana kuendelea kukaa na kinyongo unazidi kuumia wewe. Nakutakia siku (more…)

NENO LA LEO; Mambo Mawili Muhimu Sana Kujua Kuhusu Maisha.

By | November 6, 2014

Life can either be accepted or changed. If it is notaccepted, it must be changed. If it cannot be changed, then it must be accepted. Maisha yanaweza kukubaliwa au yanaweza kubadilishwa. Kama hayakubaliwi ni lazima yabadilishwe. Kama hayawezi kubadilishwa ni lazima yakubaliwe. Usiendelee tena kuteseka na maisha yako, kama kuna (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kupoteza Fursa

By | October 28, 2014

Many an opportunity is lost because a man is out looking for four-leaf clovers. Fursa nyingi zinapotea kwa sababu watu wanatafuta bahati. Acha kutafuta bahati, fanyia kazi kila fursa inayokuja mbele yako. Kumbuka bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa. Nakutakia siku njema. (more…)