Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Kuhusu Kusema Ukweli

By | October 10, 2014

Solid advice: If you always tell the truth, you never have to remember anything! Ushauri mzito; Kama kila mara unaongea ukweli, huna haja ya kuwa na kumbukumbu. Ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu kubwa sana kitu ambacho sio rahisi na hivyo utaishia kukamatwa tu. Ijue kweli nayo kweli itakuweka huru. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kupoteza fursa.

By | October 8, 2014

Did you know that opportunities are never lost? That’s because someone will always take the ones you miss! Je wajua kwamba fursa hazipotei? Hii ni kwa sababu mtu mwingine atachukua fursa uliyoikosa wewe. Tumia sasa fursa unazoziona mbele yako kabla wengine hawajazichangamkia. Nakutakia kila la kheri. TUPO PAMOJA. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kuiboresha siku yako.

By | October 7, 2014

I’ve learned that everyone you meet deserves to be greeted with a smile. It makes his or her day, and mine too! Nimejifunza kwamba kila mtu unayekutana naye anastahili kusalimiwa kwa tabasamu. Inaifanya siku yake na yako kuwa bora zaidi. Wasalimie unaokutana nao kwa tabasamu na utaona mabadiliko makubwa kwako (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Mambo Madogo Kwenye Maisha.

By | October 6, 2014

I’ve learned that it’s those small daily happenings that make life so spectacular. So start enjoying those little things in life – it does make a difference. Nimejifunza kwamba ni mambo madogo yanayotokea kila siku ndio yanafanya maisha yetu kuwa ya kipekee. Anza kufurahia mambo haya madogo kwenye maisha yako, (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kuupuuza Ukweli.

By | September 29, 2014

I’ve learned that to ignore the facts does not change the facts.   Nimejifunza kwamba kuupuuza ukweli haibadilishi ukweli. Ukweli ni ukweli hata kama utaamua kuupuuza. Kubaliana na ukweli na angalia jinsi ya kuutumia kupata kile unachotaka. Nakutakia kila la kheri, TUKO PAMOJA. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kinachokurudisha Nyuma.

By | September 26, 2014

It’s not who you are that keep’s you back, it’s who you think you’re not. So start believing in yourself!   Kinachokurudisha nyuma sio vile unavyofikiri upo bali vile unavyofikiri haupo. Anza kujiamini sasa na amaini unaweza kufanya mambo makubwa. Nakutakia kila la kheri, TUKO PAMOJA. (more…)