Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Kuhusu Kushinda Vikwazo Kwenye Maisha.

By | September 25, 2014

Nobody trips over mountains. It is the small pebble that causes you to stumble. Pass all the pebbles in your path and you will find you have crossed the mountain.   Hakuna mtu anayeuvuka mlima kwa hatua moja. Ni mawe madogo madogo ndio yanayokuzuia. Yavuke mawe yote kwenye njia yako (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Lifti Ya Kuelekea Kwenye Mafanikio.

By | September 23, 2014

There is no elevator to success. You have to take the stairs.   Hakuna lifti ya kuelekea kwenye mafanikio, ni lazima upande ngazi. Watu wengi wamekuwa wakidanganywa sana kwamba kuna njia ya kupata mafanikio haraka, kama vile mtu anavyopanda lifti na kufika ghorofa ya kumi haraka. Ukweli ni kwamba hakuna (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Zawadi Kubwa Uliyopewa.

By | September 22, 2014

Everyone is gifted – but some people never open their package!   Kila mtu amezawadiwa, lakini baadhi ya watu hawafungui maboksi yao. Kama unajiona wewe ni mtu ambaye huna bahati au huna kipaji chochote na kuna wengine ndio bora zaidi basi hujajijua vizuri. Kaa chini na utafakari kwa kina utaiona (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Ugumu Wa Kufanya Maamuzi.

By | September 21, 2014

It’s not hard to make decisions when you know what your values are.   Sio vigumu kufanya maamuzi kama unaijua thamani yako au malengo yako. Tunakosea katika kufanya maamuzi mengi kwa sababu tunayafanya bila ya kujua yataathiri vipi malengo yetu. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kufikia Ndoto Zako.

By | September 20, 2014

If you are facing in the right direction, all you have to do is keep on walking in order to reach your dreams.   Kama upo kwenye uelekeo sahihi, unachotakiwa kufanya ni kuendelea na safari ili kufikia ndoto zako. Ukishachagua njia yako usirudi tena nyuma, endelea kukaza mwendo ili uweze (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Muonekano Wako Wa Nje.

By | September 19, 2014

How things look on the outside of us depends on how things are on the inside of us.   Jinsi mambo yanavyoonekana kwa nje inategemea na jinsi tulivyo ndani yetu. Anza kubadili kilichoko ndani yako ili kuona mabadiliko ya nje. Anza na mawazo yako, ukibadili mawazo yako utaona mabadiliko kwa (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Uwezo Wako Mkubwa.

By | September 17, 2014

If you think you are too small to be effective, you have never been in the dark with a mosquito!   Kama unafikiri wewe ni mdogo sana kuweza kuleta mabadiliko makubwa, hujawahi kukaa kwenye giza ukiwa na mbu. Kila mmoja wetu ana uwezo mkubwa ulioko ndani yake. Ujue uwezo wako (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kutabiri Kesho Yako.

By | September 16, 2014

The best way to predict your future is to create it! Njia bora ya kutabiri kesho yako ni kuitengeneza leo. Usihangaike kupata utabiri kwamba maisha yako ya baadae yatakuwaje. Unao uwezo wa kuyatengeneza na kuwa kama vile unavyotaka wewe. Kujifunza zaidi tembelea AMKA MTANZANIA na KISIMA CHA MAARIFA.Kila la kheri. (more…)