Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Kitu Muhimu Cha Kununua Kabla Hujanunua Nguo…

By | February 25, 2015

“Wear the old coat and buy the new book.” – Austin Phelps Vaa nguo Ya Zamani na nunua kitabu kipya. Najua hii ni kauli ya tofauti kabisa, ambayo hujawahi kuisikia na wala hukuwahi kudhani utakujakuisikia. Sawa, tayari umeshaisikia na ifanyie kazi. SOMA; Faida Kumi Za Kujisomea Ukiacha Kuongeza Maarifa. Wakati (more…)

NENO LA LEO; Maana Halisi Ya Wivu…

By | February 24, 2015

Envy is the art of counting the other fellow’s blessings instead of your own.” – Harold Coffin Wivu ni sanaa ya kuhesabu baraka za wengine badala ya kuhesabu baraka zako. Epuka kuwa na wivu, hauwezi kukusaidia bali unakurudisha nyuma. Wivu unakufanya ujilinganishe na wengine na hatimaye uone wewe huwezi. Wivu (more…)

NENO LA LEO; Vitu Vitatu Muhimu Kwenye Maisha Yako.

By | February 23, 2015

“In the end, just three things matter: How well we have lived How well we have loved How well we have learned to let go.” – Jack Kornfield Mwishoni vitu vitatu tu ndio vitakuwa muhimu: Jinsi gani ulivyoishi. Jinsi gani ulivyowapenda wengine. Jinsi gani ulivyoweza kukubali mambo yapite. Maisha unayoishi (more…)

NENO LA LEO; Kama Hufanyi Makosa Hii Ndio Maana Yake.

By | February 22, 2015

If you’re not making mistakes, then you’re not doing anything. -John Wooden Kama hufanyi makosa maana yake hufanyi chochote. SOMA; Fikra TANO Zinazoua Mafanikio Na Jinsi Ya Kuziepuka. Katika jambo lolote ambalo utafanya, huwezi kukwepa kufanya makosa. Hasa pale ambapo unafanya mambo mapya, makosa huwa makubwa sana. Hivyo usiogope pale (more…)

NENO LA LEO; Bado Hujachelewa…

By | February 21, 2015

It’s never too late – never too late to start over, never too late to be happy. -Jane Fonda Hakuna wakati ambao unakuwa umechelewa, hujachelewa kuanza tena, hujachelewa kuanza kuwa na furaha. SOMA; Siri Moja Kubwa Ya Kufanikiwa Kwenye Ujasiriamali. Kwenye maisha hakuna kuchelewa ila pale unapojua unachotaka ndio wakati (more…)

NENO LA LEO; Pale Unapoona Mambo Hayaendi Fanya Hivi.

By | February 20, 2015

“When life’s problems seem overwhelming, look around and see what other people are coping with. You may consider yourself fortunate.” Ann Landers Pale matatizo ya maisha yanapoonekana kukulemea, angalia wengine wanakazana kufanya nini na maisha yako. Unaweza kujiona mwenye bahati. Unaweza kulalamika huna viatu lakini utakapokutana na mtu ambaye hana (more…)

NENO LA LEO; Kama Bado Hujaipata Fursa Fanya Hivi…

By | February 19, 2015

”If opportunity doesn’t knock, build a door” Milton Berle Kama bado fursa haijagonga hodi, tengeneza mlango. Unaweza kuwa unalalamika kwamba fursa haijaginga hodi kwako, kumbe huna hata mlango wa kutoa nafasi kwa fursa hiyo kugonga. Hivyo acha kulalamika na tengeneza mlango ambapo fursa itagonga. SOMA; Njia KUMI Za Kubana Matumizi (more…)

NENO LA LEO; Kitu Muhimu Zaidi Kwenye Maisha…

By | February 18, 2015

“The most important thing in life is not to capitalise on your successes – any fool can do that. The really important thing is to profit from your mistakes”. William Bolitho Kitu muhimu zaidi kwenye maisha sio kunufaika na mafanikio yako, hata mjinga anawea kufanya hivyo. Kitu muhimu kweli ni (more…)

NENO LA LEO; Furahia Kupingwa…

By | February 17, 2015

“Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds”. Albert Einstein Mawazo makubwa mara zote hukutana na upinzani mkubwa kutoka kwa mawazo ya kawaida(hovyo). SOMA; KAWAIDA Ni Tafsida Ya HOVYO… Usiogope pale unapofanya jambo ambalo wewe unajua ni sahihi ila kuna watu wengi wanakupinga au wanakukatisha tamaa. Jua kwamba (more…)

NENO LA LEO; Faida Tatu Za Kazi…

By | February 16, 2015

“Work spares us from three evils: boredom, vice, and need”. Voltaire Kazi inatuepusha na mambo matatu mabaya; kuchoka kwa kutofanya lolote, maovu na mahitaji. Unaweza kuona kama kazi ni kitu kibaya sana ambacho kinakutesa. Na wakati mwingine kutamani kwamba hata kazi zisingekuwepo. Ila jiulize kama usingekuwa na kazi, usingechoka tu (more…)