Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Jinsi Unavyoweza Kutumia Uwezo Mkubwa Wa Akili Yako

By | February 15, 2015

”Without inspiration the best powers of the mind remain dormant. There is a fuel in us which needs to be ignited with sparks”. Johann Gottfried Von Herder Bila ya hamasa nguvu kubwa ya akili yako inadumaa. Kuna mafuta yako ndani yetu ambayo yanahitaji kuwashwa na cheche. Akili yako ina uwezo (more…)

NENO LA LEO; Kila Mtu Ni Mwekezaji…

By | February 14, 2015

“We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities”. Ralph Waldo Emerson Sisi wote ni wawekezaji, kila mmoja anafuata uelekeo wake, akiongozwa na ramani yake mwenyewe ambayo haifanani (more…)

NENO LA LEO; Haijalishi Umeshindwa Mara Ngapi…

By | February 13, 2015

“Ever tried. Ever failed. No matter. Try Again. Fail again. Fail better”. Samuel Beckett Umewahi kujaribu. Umewahi kushindwa. Haijalishi. Jaribu tena. Shindwa tena, Shindwa Vizuri. Hijalishi umejaribu na kushindwa mara ngapi, kukata tamaa hakutakufanya upate ulichotaka. Endelea kujaribu tena na tena na tena na kadiri unavyoshindwa ndio utafikia mafanikio yako. (more…)

NENO LA LEO; Haijalishi Umeshindwa Mara Ngapi…

By | February 13, 2015

“Ever tried. Ever failed. No matter. Try Again. Fail again. Fail better”. Samuel Beckett Umewahi kujaribu. Umewahi kushindwa. Haijalishi. Jaribu tena. Shindwa tena, Shindwa Vizuri. Hijalishi umejaribu na kushindwa mara ngapi, kukata tamaa hakutakufanya upate ulichotaka. Endelea kujaribu tena na tena na tena na kadiri unavyoshindwa ndio utafikia mafanikio yako. (more…)

NENO LA LEO; Kampuni Zinazokufa Na Kampuni Zinazofanikiwa….

By | February 12, 2015

“Companies that solely focus on competition will ultimately die. Those that focus on value creation will thrive.” Edward de Bono Kampuni zinazoweka mkazo kwenye kushindana zinakufa mara moja. Kampuni zinazoweka mkazo kwenye kutengeneza thamani zinastahimili. Ni vigumu sana kushinda kwenye kushindana, maana unapoingia kwenye mchezo wa ushindani kila mtu anatumia (more…)

NENO LA LEO; Siku Ya Furaha, Kifo Cha Furaha…

By | February 11, 2015

“As a well spent day brings happy sleep, so a life well spent brings happy death.” Leonardo da Vinci Kama ilivyo siku iliyotumiwa vizuri  huleta usingizi wa furaha, ndivyo ilivyo maisha yaliyotumiwa vizuri huleta kifo cha furaha. Huna haja ya kujali kama ukifa itakuwaje, tunajua kila mtu atakufa na hivyo (more…)

NENO LA LEO; Hatari Kubwa Inayokunyemelea…

By | February 10, 2015

“The greater danger for most of us lies not in setting our aim too high and falling short; but in setting our aim too low, and achieving our mark.” Michelangelo Hatari kubwa iliyopo ndani yetu sio kuweka malengo makubwa na kushindwa kuyafikia, bali kuweka malengo madogo na kuyafikia. Kila mmoja (more…)

NENO LA LEO; Jinsi Unavyoweza Kufikia Ndoto Zako…

By | February 9, 2015

“Keep your dreams alive. Understand to achieve anything requires faith and belief in yourself, vision, hard work, determination, and dedication. Remember all things are possible for those who believe.” Gail Devers Zifanye ndoto zako kuwa hai. Elewa kwamba kupata kitu chochote unahitaji kuwa na imani na kujiamini, kuwa na maono, (more…)

NENO LA LEO; Hakuna Wa Kukuhamasisha…

By | February 8, 2015

“No one can motivate you to do anything. You motivate yourself, based on information you receive and how directly you can relate it to your own potential achievement.” Mark Barnes Hakuna yeyote anayeweza kukuhamasisha kufanya kitu. Unajihamasisha mwenyewe kulingana na taarifa unazopokea na jinsi unavyoweza kuzihusisha na mafanikio unayotaka. Taarifa (more…)

NENO LA LEO; Muongozo Wa Mfanikio Yako Utaupata Hapa.

By | February 7, 2015

“The blueprint for success is inside you. It will stay there unless you take it out and create it.” Larina Kase Muongozo wa mafanikio yako upo ndani yako. Utakaa hapo mpaka utakapoamua kuutoa na kuufanyia kazi. Hakuna kitu kikubwa kinachohitaji kutokea kwako ndio uanze kuona mafanikio. Mafanikio yanaanzia ndani yako, (more…)