Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Kama hutachukua hatua… Kama Hutauliza.

By | February 6, 2015

“If you don’t go after what you want, you’ll never have it. If you don’t ask, the answer is always no. If you don’t step forward, you’re always in the same place.” Nora Roberts Kama hutakifuata kile unachotaka, kamwe hutakuwa nacho. Kama hutauliza, mara zote jibu litakuwa ni hapana. Kama (more…)

NENO LA LEO; Hakuna Atakayekuletea Ukombozi…

By | February 5, 2015

“You have to do it yourself, no one else will do it for you. You must work out your own salvation.” Charles E. Popplestone Ni lazima ufanye mwenyewe, hakuna atakayeweza kufanya kwa niaba yako. Ni lazima ufanyie kazi ukombozi wako. Unapolaumu watu, au hali, au taasisi maana yake nini? Maana (more…)

NENO LA LEO; Viti Viwili Ambavyo Kila Mtu Anataka Kwenye Maisha.

By | February 4, 2015

“Deep down even the most hardened criminal is starving for the same thing that motivates the innocent baby: Love and acceptance” Lily Fairchilde Ndani ya nafsi ya kila mtu, hata awe mhalifu kiasi gami, kila mtu ana njaa ya vitu viwili ambavyo vinamhamasisha hata mtoto; Upendo na Kukubalika. Kila mtu (more…)

NENO LA LEO; Jinsi Ya Kupata Fursa Bora.

By | February 3, 2015

“There are fish in the sea better than have ever been caught” Irish Sayings Bahari imejaa samaki ambao ni bora kuliko ambao wamewahi kuvuliwa. Kama unafikiri fursa zimeisha na hivyo huna cha kufanya, unajidanganya. Kuna fursa nyingi sana na nzuri zaidi ya hizi ambazo zimeshatumia. Jukumu lako ni kutumia akili (more…)

NENO LA LEO; Hasara Ya Kutokuwa Bora.

By | February 2, 2015

“If your’re not practicing, somebody else is, somewhere, and he’ll be ready to take your job.” Brooks Robinson Kama hujifunzi na kufanya kazi yako kwa ubora kuna mtu mahali fulani anafanya hivyo na yuko tayari kuchukua kazi yako. Katika ulimwengu wa sasa ni muhimu sana kujifunza na kufanya chochote unachofanya (more…)

NENO LA LEO; Muda Wa Wewe Kuwa Bora..

By | February 1, 2015

”You don’t must be great to beginning, but you should start to end up being great” Zig Ziglar Sio lazima uwe bora wakati unaanza, ila ni lazima uanze ukijua utakuwa bora mwishoni. Hakuna mtu anayeanza kitu akiwa bora, ila ubora unapatikana kadiri unavyokwenda. Kama utakuwa mtu wa kujifunza na kutokata (more…)

NENO LA LEO; Njaa Ndio Itakupatia Unachotaka…

By | January 31, 2015

“Wanting something is not enough. You must hunger for it. Your motivation must be absolutely compelling in order to overcome the obstacles that will invariably come your way.” Les Brown Kutaka kitu haitoshi, ni lazima uwe na njaa ya kukipaya. Hamasa yako ni lazima iwe kubwa sana ili kushinda vikwazo (more…)

NENO LA LEO; Maisha Yanapokosa Maana…

By | January 30, 2015

“Without faith, hope and trust, there is no promise for the future, and without a promising future, life has no direction, no meaning and no justification.” Adlin Sinclair Bila ya imani, matumaini na uaminifu, hakuna ahadi ya baadae, na kama hakuna ahadi ya baadae, maisha hayana muelekeo, hayana maana na (more…)

NENO LA LEO; Chakula Cha Akili…

By | January 29, 2015

“Motivation is like food for the brain. You cannot get enough in one sitting. It needs continual and regular top ups.” Peter Davies Hamasa ni kama chakula cha akili. Huwezi kupata ya kutosha mara moja. Unahitaji kuendelea kuongeza kila siku. Hakuna siku utasema kwamba sasa nimehamasika kiasi cha kutosha na (more…)

NENO LA LEO; Dawa Ya Kuondoa Wasi wasi…

By | January 28, 2015

”Action will remove the doubt that theory cannot solve” Pehyl Hsieh Vitendo vitaondoa wasiwasi ambao nadharia haiwezi kutatua. Unapokuwa na mpango wowote kwenye maisha yako, kuna wakati ambapo unakuwa na wasiwasi kama kweli itawezekana kwenda kama ulivyopanga. SOMA; Vitu VITATU Vinavyoathiri Kipato Chako Na Jinsi Ya Kukiongeza. Dawa ya kuondoa (more…)