Njia Moja Muhimu Ya Kuwa Kiongozi Bora.
Ni muhimu sana wewe kuwa kiongozi na ni muhimu zaidi kuwa kiongozi bora. Tunaposema ni muhimu wewe kuwa kiongozi haimaanishi kuwa kiongozi wa kisiasa au kiserikali bali ni uwe kiongozi kwenye jambo lolote unalofanya. Iwe umeajiriwa kwenye kitengo fulani, fanya kazi yako kama kiongozi. Iwe umejiajiri au unafanya biashara, fanya (more…)