Dalili Kumi Kwamba Tayari Wewe Ni Kiongozi.
Kwenye makala zilizopita tumeona ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi. Pamoja na umuhimu huo sio watu wote ni viongozi na sio watu wote wataweza kuwa viongozi. Na hata ambao ni viongozi sio wote ni viongozi bora wanaotoa matokeo mazuri. Pia tumejifunza kwamba kiongozi anaweza kuzaliwa au kutengenezwa. (more…)