Sifa Moja Muhimu Ambayo Kila Kiongozi Mkubwa Anayo.
Kwenye makala zilizopita tuliona ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi kwenye maisha yake na shughuli anazofanya. Pia tuliona kwamba kila mmoja wetu anaweza kuwa kiongozi kama ataamua, iwe kwa kuendeleza sifa za uongozi zilizopo ndani yake au kwa kujifunza sifa za uongozi. Leo tutaangalia sifa moja muhimu ambayo (more…)