Tag Archives: USHAURI WA BIASHARA

BIASHARA LEO; Huwezi Kuwa Sahihi Mara Ya Kwanza.

By | May 4, 2015

Kuna swali ambalo huwa linaulizwa tena na tena na tena yaani kila siku swali hili linaulizwa. Hata nitakapomaliza kuandika hapa, mtu akipiga simu au kuandika email atauliza swali hilo. Swali lenyewe ni NIFANYE BIASHARA GANI AMBAYO INA FAIDA SANA, au NI BIASHARA GANI AMBAYO INALIPA SANA KWA SASA. Na jibu (more…)

BIASHARA LEO; Jambo Muhimu La Kila Mfanyabiashara Kufanya Kila Siku.

By | May 1, 2015

Leo ni siku ya mwisho ya kujiunga na SEMINA YA MAFANIKIO KUPITIA BIASHARA. Kwa maelezo zaidi bonyeza HAPA. Kujifunza kila siku ndio hitaji la chini kabisa ili kuweza kufikia mafanikio kwenye maisha. Na kwenye biashara hii ni muhimu zaidi kwa sababu mabadiliko makubwa yanatokea wkenye biashara kila siku. Kuna mbinu (more…)

BIASHARA LEO; Hili Ndio Kosa Kubwa Unaloweza Kufanya Kwenye Biashara Yako.

By | April 30, 2015

Sote tunajia kwamba biashara zina changamoto nyingi sana. Na sehemu kubwa ya changamoto hizi huwa tunazitengeneza sisi wenyewe kwa kufanya au kutokufanya mambo fulani. Na kila changamoto tunayokutana nayo kwenye biashara tunaweza kuitatua kama tukijua njia sahihi za kuikabli changamoto husika. Kupitia kipengele hiki cha BIASHARA LEO hapa kwenye KISIMA (more…)

BIASHARA LEO; Kama Hujaweza Kumpata Mteja Huyu, Huna Biashara.

By | April 28, 2015

Lengo la biashara ni kutengeneza wateja ambao watakuwa wanakuamini na mtaendelea kufanya biashara pamoja. Wateja hawa watakuw atayari kuwaambia watu wengine kuhusiana na biashara yako na hivyo kuleta wateja wengi zaidi. Lakini sio wateja wote ni sawa na wote hawapatikani kwa njia moja rahisi. Kuna wateja ambao unaweza kuwapata kirahisi (more…)

BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Hadithi Ya Biashara Yako.

By | April 3, 2015

Tunaishi kwenye dunia ambayo watu hawanunui kwa sababu tu unauza. Zamani biashara ilikuwa rahisi, uza na watakuja kununua. Fungua biashara na watu watakuja. Tangaza biashara yako kwenye vyombo vinavyowafikia wafikia wengi na utapata wateja wengi. Ila sasa hivi mambo mengi yamebadilika. Watu hawanunui tena kwa sababu wewe unauza, hii ni (more…)