Tag Archives: USHINDANI KWENYE BIASHARA

BIASHARA LEO; Kama Sio Namba Moja Au Namba Mbili Acha Kupoteza Muda Wako.

By | June 5, 2015

Kwa haraka tu na bila ya kuzunguka zunguka nikuambie kwamba biashara unayofanya kama wewe sio namba moja, au sio namba mbili basi acha kupoteza muda wako kwenye hiyo biashara. Kama sio namba moja au namba mbili kwenye biashara unayofanya maana yake huna biashara yenye wateja wa kutosha, unapata wale wateja (more…)

Tofauti ya biashara kubwa na biashara ndogo na jinsi ya kuitumia kukuza biashara yako.

By | June 1, 2015

  Wafanyabiashara wengi wadogo wamekuwa wanafanya kosa moja kubwa sana linalogharimu ukuaji wa biashara zao. Kwa kufanya kosa hili wamekuwa wakishindwa kukuza biashara zao na hivyo biashara kufa au kubaki kwenye kiwango kilekile. Kosa kubwa ambalo wafanyabiashara wengi wadogo wamekuwa wanafanya ni kufikiri kwamba biashara ndogo ni aina ndogo ya (more…)

BIASHARA LEO; Jambo Moja Muhimu La Kuzingatia Kwenye Upangaji Wa Bei.

By | May 18, 2015

Kama kuna maji ya makampuni matatu sokoni na maji ya kampuni moja yakawa yanauzwa kwa bei rahisi kuliko ya makampuni mengine, wateja watanunua yapi? Haihitaji elimu kubwa kujua kwamba watanunua yale maji yanayouzwa kwa bei rahisi. Wateja wengi watanunua maji hayo. Hii ni kwa sababu maji hayatofautiani sana, maji ni (more…)

BIASHARA LEO; Hivi Ndivyo Unavyokaribisha Ushindani Kwenye Biashara Yako.

By | April 27, 2015

Moja ya makosa ambayo wafanyabiashara wengi huwa wanayafanya na yanawagharimu ni kufikiri kwamba watu wengine hawaoni kile ambacho wanakifanya. Wanafikiri kwamba wamejifungia wkenye ulimwengu wao wenyewe na kufanya mambo yao wenyewe. Ukweli ni kwamba kama unafanya biashara na inaonesha mafanikio makubwa, kuna watu wengi wanaiona biashara hiyo na wameshaanza kufikiria (more…)

BIASHARA LEO; Usimseme Vibaya Mshindani Wako Mbele Ya Mteja Wako.

By | April 22, 2015

KARIBU KWENYE SEMINA YA MAFANIKIO KUPITIA BIASHARA MWAKA 2015. AMKA CONSULTANTS imekuandalia semina ya mafanikio kwenye biashara mwaka 2015. Katika semina hii utajifunz amambo yote muhimu yatakayokuwezesha kuanza, kukuza na kufikia mafanikio kwenye biashara yako. Semina itaanza tarehe 04/05/2015 na itaendeshwa kwa mwezi mzima kwa njia ya mtandao(yaani email). Mwisho (more…)