Tag Archives: WAZO LA BIASHARA

#BIASHARA LEO; Aina Mbili Za Kushindwa Kwenye Biashara, Na Iliyo Bora Kwako.

By | February 29, 2016

Kuna aina mbili za kushindwa kwenye biashara na katika aina hizo mbili kuna moja ambayo ni bora kwako na nyingine siyo bora. Aina ya kwanza ya kushindwa kwenye biashara ni kuanzisha biashara halafu biashara hiyo ikafa. Hapa unajipanga na unaingia kwenye biashara ukiwa na malengo na mipango mizuri ila biashara (more…)

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Biashara Kubwa Kwa Kuanzia Chini Kabisa, Hata Kama Huna Kitu.

By | April 29, 2015

Semina ya mafanikio kupitia biashara mwaka 2015 imebaki siku mbili tu ili uweze kujiunga. Kama unapitia changamoto zozote kwenye biashara yako au hata kama huna changamoto ila ungependa kufikia mafanikio makubwa usikose kujiunga na semina hii. Mwisho wa kujiunga ni ijumaa hii tarehe 01/05/2015. Baada ya hapo hutapata tena nafasi (more…)

BIASHARA LEO; Pale Unaposikia “BIASHARA FULANI INALIPA SANA” Jua Umeshachelewa.

By | April 23, 2015

Kuna baadhi ya biashara huwa zinakwenda na misimu fulani. Kuna kipindi watu wanakuwa wanazungumzia sana biashara ya aina fulani, inapata umaarufu sana na kila mtu anakimbilia kuifanya. Hizi ni zile hadithi kwamba biashara fulani inalipa sana, ona watu fulani wamefanya na wamepata faida kubwa. Au kilimo fulani kinalipa sana, ona (more…)

BIASHARA LEO; Mteja Hajui Anachotaka, Ila Anajua Kitu Hiki Muhimu Sana.

By | April 16, 2015

Kama unataka kukuza biashara yako na ifikie viwango vya juu sana basi usitegemee sana maoni ya wateja, hasa kuhusu ni nini wanataka. Ukiondoa biashara za uchuuzi ambazo mtu anakwenda dukani moja kwa moja kununua sukari, biashara nyingi mteja hajui anachotaka. Ndio hajui ni kitu gani hasa anachokitaka, ila akikipata atafurahia (more…)

BIASHARA LEO; Ingia Kwenye Biashara Yenye Ushindani Lakini Usishindane.

By | April 7, 2015

Moja ya faida za kuingia kwenye biashara katika kipindi hiki ni kwmaba huna haja ya kuumiza sana kichwa ni biashara gani ufanye. Japo wengi bado wanaumia vichwa. Zama hizi kila aina ya biashara inafanywa, tena kama unapanga kuingia kwenye biashara ndogo ndogo basi popote ulipo kuna biashara zaidi ya 100 (more…)

BIASHARA LEO; Biashara Unayofanya Sasa, Au Utakayoanza Sasa Sio Biashara Utakayofanya Milele.

By | March 28, 2015

Moja ya changamoto ambazo zinawazuia watu wengi kuingia kwenye biashara au kukuza biashara zao ni kufikiria ni biashara gani sahihi kwao kufanya. Watu wengi hupoteza muda mwingi wakitafuta wazo bora kabisa la biashara ambalo litawaletea faida kubwa na mafanikio makubwa pia. Wafanyabiashara wengine huumia sana pale ambapo wazo lao la (more…)